HAI TEACHERS' SACCOS (1993) LIMITED

HAI TEACHERS' SACCOS (1993) LIMITED

NENO KUTOKA KWA MWENYEKITI

Pakua Machapisho

Karibu

HAI TEACHERS’ SACCOS (1993) Limited, Tunajivunia kuwa ushirika wa kifedha ambao unawawezesha wafanyakazi wa umma na kutoka mashirika binafsi kutimiza malengo yako ya kiuchumi.Tumejitolea kutoa huduma bora, kwa wakati, riba nafuu, na fursa za uwekezaji kwa wanachama wetu. Jiunge nasi leo, na tufanye kazi kwa pamoja kutimiza ndoto zako.

HAI TEACHERS’ SACCOS (1993) LIMITED ni moja ya saccos kubwa iliyoanzishwa na walimu chini ya sheria ya ushirika Na 15 ya mwaka 1991 na kusajiliwa kwa namba KLR 440. 

Hai Teachers’ saccos (1993) Limited ilianzishwa mwaka 1993 ikiwa na wanachama 20 na mtaji wa Tsh 100,000 ikiwa na lengo la kuunganisha watumishi wa umma kutengeneza ushirikika wa kifedha utakaowezesha watumishi wa serikali kuu na serikali za mitaa  kutatua changamoto zao za kifedha. Hadi kufikia Dec, 2024 hai teachers saccos ina Jumla ya wanachama 942.

MANAGER

942
Wanachama
09
Vikundi
1
Dirisha
7
Watumishi

MAONO

Kuwa moja saccos za mfano katika wilaya, mkoa, na taifa zinazotoa huduma bora za kifedha

MALENGO

Kutoa huduma ya kifedha kwa gharama nafuu kwa wanachama, kwa kuwawezesha wanachama kuwekeza, kukopa na kurejesha kwa wakati.

Dira

Kutimiza misingi ya ushirika kwa kushawishi watumishi kujiunga pamoja na kutoa huduma zinazokidhi mahitaji na changamoto zao kwa gharama nafuu.

Huduma Zetu

Huduma ya uwekezaji kwa wanachama na wastaafu

Huduma za mikopo

Kununua Hisa

Kuweka Amana

Vigezo vya kupata Huduma ya mkopo

Uwe Mwanachama
Uwe na Akiba
Uwe na wadhamini wawili kutoka kwa wanachama
Hati ya mshahara (Salary sleep) ya mwaka husika
Omba Mkopo

kwanini uhangaike kutafuta huduma bora za za kifedha

Taarifa

WhatsApp Image 2025-02-22 at 15.33
DED SIHA awapongeza Hai Teachers' Saccos kwa mchango wao wa kuijali jamii
https://haiteacherssaccos.org/wp-content/uploads/2025/02/WhatsApp-Video-2025-02-22-at-15.33.23-1.mp4

Pakua Fomu Zetu Hapa

Fomu ya Kujiunga na Chama

Fomu ya Kuomba Mkopo

Fomu ya Kujiunga na Chama

Scroll to Top